Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya
Kituo ……………………………………………………………… Mkoa wa ………………………………………………………………
LALAMIKO
(Aya ya 8 Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu)
Taarifa za Mlalamikaji
Jina …………………… Jinsia ……………………
Makazi …………………… Umri ……………………
Anuani ya …………………… Simu ……………………
Taarifa za Mlalamikiwa
Jina …………………… Jinsia ……………………
Makazi …………………… Umri ……………………
Anuani ya …………………… Simu ……………………
Maelezo yanayojenga kosa
…………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………
Taarifa za Mlalamikiwa
Jina …………………… Kabila ……………………
Umri …………………… Dini Amani ……………………
Amethibitisha leo …………… mwezi ……………
Mbele yangu:
Endapo maelezo ya Mlalamikaji yanaunda kosa la jinai dhidi ya Mlalamikiwa, Hakimu ataandaa hati ya mashtaka kwa kutumia Fomu Jinai -2