Maelezo ya Mahakama
Maelezo ya Kiapo
Tarehe ya Uthibitisho
Maelezo ya Uthibitisho
Tarehe ya MUAPAJI
MBELE YANGU

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)


Gx. No. 943 (Contd.) FOMU JINAI - 10

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………

Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………

KIAPO CHA MUWASILISHA KUITWA SHAURINI

Mimi ……………………………… mkazi wa ……………………………… mwenye anuani ya Makazi ……………………………… nathibitisha/naapa kwamba nimuwasilisha hati ya kuitwa shaurini wa Mahakama. tarehe …… mwezi …… mwaka …… nilipokea kuitwa shaurini iliyotolewa na Mahakama ya ……………………………… katika shauri la Jinai Na....Mwaka …… na iliyomtaka ……………………………… kufika Mahakamani tarehe …… mwezi …… mwaka …… Nimewasilisha kuitwa shaurini ipasavyo/sikuwasilisha kuitwa shaurini ipasavyo kwa sababu ………………………………

UTHIBITISHO

Mimi ……………………………… Ninathibitisha kuwa kiapo hiki ni kweli tupu tarehe …… mwezi …… mwaka ……

MUAPAJI

IMETHIBITISHWA hapa …… na ………………………………

ambaye ametambulishwa kwangu na ………………………………

ambaye ninaruhusu leo ……………………………… tarehe …… mwezi …… mwaka ……

MBELE YANGU

Jina ………………………………

Sahihi ………………………………

Tarehe ……

Anuani ………………………………

Cheo ………………………………

16