WITO KWA MDHAMINI (FOMU JINAI 12)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Mdhamini
Siku ya Mahakamani
Tarehe
Sahihi ya Hakimu

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. No. 943 (Contd.)

FOMU JINAI - 13

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………

Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………

Mlalamikaji ………………………………

Mshtakiwa ………………………………

WITO KWA MDHAMINI

(Aya ya 17(1) Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu)

Jina ………………………………

Makazi ………………………………

Anuani ya Makazi ………………………………

Barua Pepe ………………………………

Jinsia ………………………………

Umri ………………………………

Simu ………………………………

Kazi ………………………………

FAHAMU KWAMBA, Mshtakiwa hakufika Mahakamani kujibu shtaka dhidi yake kama ilivyoanriwa na Mahakama hii, fiunga la dhamana ulilothibitisha kulitoa katika shauri hili litataifishwa, unatakiwa kufika bila kukosa katika Mahakama hii siku ya Tarehe ……………………………… mwezi ……………………………… mwaka ……………………………… saa ……………………………… asubuhi/mchana kutoa sababu kwa nini usilipe fungu hilo la dhamana.

IMETOLEWA Kwa Anri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe ……………………………… mwezi …… mwaka ……

HAKIMU

20