HATI YA KUKAMATA MALI ZA MDHAMINI (FOMU JINAI 14)
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
Gx. No. 943 (Contd.)
FOMU JINAI - 14
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………
Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………
Mlalamikaji ………………………………
Mshtakiwa ………………………………
HATI YA KUKAMATA MALI ZA MDHAMINI
(Aya ya 17(1) Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu)
Jina ………………………………
Makazi ………………………………
Anuani ya Makazi ………………………………
Barua Pepe ………………………………
Jinsia ………………………………
Umri ………………………………
Simu ………………………………
Kazi ………………………………
KWAKUWA umeshindwa kulipa ahadi/mali/fedha ya fungu la dhamana au kutoa sababu za msingi za kutotaifishwa dhamana uliyoithibitisha katika Mahakama hii, kwa Amri ya Mahakama hii iliyotolewa tarehe ……………………………… Mwezi ……………………………… Mwaka ……………………………… mali zako zinakamatwa ili kufidia funga la dhamana lililowekwa/lilioahidiwa. Hivyo, huruhusiwi kuuza, kugawa, kuharibu, kupoteza, kuweka rehani au kutenda jambo lolote litakalohamisha umiliki au kubadili uhalisia wa mali hiyo/hizo.
Orodha ya mali zinazokamatwa ni:
1. ………………………………
2. ………………………………
3. ………………………………
4. ………………………………
5. ………………………………
IMETOLEWA Kwa Anri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe ……………………………… mwezi …… mwaka ……
HAKIMU