HATI YA KUUZA MALI KWA MALIPO YA FUNGU LA DHAMANA (FOMU JINAI 15)
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
Gx. No. 943 (Contd.)
FOMU JINAI - 15
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………
Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………
Mlalamikaji ………………………………
Mshtakiwa ………………………………
HATI YA KUUZA MALI KWA MALIPO YA FUNGU LA DHAMANA
(Aya 17 (2) ya Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakama)
Kwakuwa, ................................................................ (mdhamini) tarehe ........ mwezi ........ mwaka ................................................................ aliweka ahadi ya kulipa shilingi ................................................................ kama fungu la dhamana na kwamba mara baada ya kutakiwa na Mahakama hii kulipa kiasi hicho na ameshindwa kutoa sababu za msingi za kutolipa fungu hilo, Mahakama hii inatoa amri kwamba mali yake/zake zinazohamishika/zisizohamishika, ambazo ni
1. ................................................................
2. ................................................................
zikamatwe na kuuzwa ili kufidia fungu la dhamana alilo shidi na kushindwa kulipa.
Kwa Hati hii Mahakama inakuidhinisha na kukuamuru wewe ................................................................ kukamata na kuuza mali tajwa hapo juu ili kufidia kiasi cha shilingi ................................................................ alichoahidi.
Mara baada ya kutekeleza Amri hii unatakiwa kuwasilisha katika Mahakama hii zilizopatikana kutokana na mauzo hayo pamoja na taarifa ya namna utekelezaji ulivyofanyika.
Imetolewa kwa Amri ya Mahakama leo Tarehe ...... mwezi ...... mwaka ................................................................
HAKIMU