HATI YA UPEKUZI (FOMU JINAI 17)
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
GN. NO. 943 (Contd.)
FOMU JINAI - 17
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………
Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………
Mlalamikaji ………………………………
Mshtakiwa ………………………………
HATI YA UPEKUZI
(Aya ya 13 ya Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu sura ya 11)
KWA:
MKUU WA KITUO, ………………………………
Unaamriwa na Mahakama hii kufanya upekuzi katika ……………………………… iliyopo katika eneo la ……………………………… Wilaya ya ……………………………… Mkoa wa ……………………………… na kuzingatia muda wa upekuzi saa 12:30 asubuhi hadi saa 12:30 jioni.
Hati hii inakuidhinisha na kukuamuru ufanye upekuzi katika mali ……………………………… na taarifa au matokeo ya upekuzi yahifadhiwe kwa umakini na yawasilishwe Mahakamani.
Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe ……………………………… mwezi ……………………………… mwaka ………………………………
HAKIMU