MAOMBI YA UTHIBITISHO WA ADHABU (FOMU JINAI 19)
Maelezo ya Mahakama
Maelezo ya Kifungo
Tarehe
Maelezo ya Hatiani
Tarehe ya Kutolewa
Sahihi ya Hakimu

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. No. 943 (Contd.)

FOMU JINAI - 19

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………

Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………

Mlalamikaji ………………………………

Mshtakiwa ………………………………

MAOMBI YA UTHIBITISHO WA ADHABU

(Aya ya 7 Nyongeza ya II ya sheria ya Mahakama za Mahakimu) Kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi

Mahakama ya Wilaya ………………………………
Kwa kuwa leo tarehe ……………………………… mwezi ……………………………… mwaka ……………………………… Mshtakiwa ……………………………… ametiwa hatiani mbele yangu kwako ……………………………… na amehukumiwa ……………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………… ……………………………………………………………………………………………… Na kwa kuwa Mahakama hii haina mamlaka ya kutoa bila uthibitisho hivyo ninakutumia jalada kwa ajili ya uthibitisho wa adhabu hiyo.

Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe ……………………………… mwezi ……………………………… mwaka ………………………………

HAKIMU

27