FOMU JINAI 21
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya..................................................
Kituo cha.............................. Mlalamikaji ..............................
Mshtakiwa ..............................
Mkoa wa..................................
HATI YA KUKAMATA MALI KWA MALIPO YA FAINI/FIDIA/GHARAMA
(Aya ya 5(3)(4) Nyongeza ya III ya Sheria ya Mahakama za Mahakimu)
Kwa ........................................
Kwa kuwa ............................ (mshtakiwa) tarehe ....... mwezi ....... mwaka ........... Mahakama hii ilimtia hatiani kwa kosa la ......................................................... na alihukumiwa kulipa faini /fidia/gharama ya shilingi ............................................ na hajalipa.
Mahakama imeamuru mali yake/zake ambayo/ ambazo ni ..........................................
..............................................................................................................
..............................................................................................................
.............................................................................................................. ziuzwe ili kufidia faini/fidia/gharama ambayo haijalipwa.
Kwa hati hii Mahakama inakuamuru na kukutaka wewe .......................................... kukamata mali yake kwa thamani ya faini/fidia/gharama ya shilingi ............................
Imetolewa na Mahakama leo, tarehe........ mwezi....... mwaka.........
HAKIMU