Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………………………………………
Kituo cha ……………………………………………………………… Mkoa wa ………………………………………………………………
KUITWA SHAURINI MSHTAKIWA
(Aya ya 9 Nyongeza ya III ya sheria ya Mahakama za Mwanzo)
Kwa …………………………………………………………………………………
Kwa kuwa imelazimika ubudhurie ili ujibu shtaka dhidi yako
la:- …………………………………………………………………………………
Unaamriwa na Mahakama uhudhurie mbele ya Mahakama hii
siku ya ……………………………………………………………… tarehe ……………………………………………………………… mwezi ……………………………………………………………… mwaka ……………………………………………………………… saa ……………………………………………………………… ……………………………………………………………… asubuhi/mchana ili shauri liweze kusikilizwa.
Endapo utashindwa kuhudhuria siku na maada uliopangwa hapo juu, na ikithibitika kwamba umepokea kuitwa shaurini, hati ya kukamatwa itatolewa dhidi yako.
Hati hii imetolewa kwa Amri yangu na Muhuri wa Mahakama hii leo tarehe ……………………………………………………………… mwezi ……………………………………………………………… mwaka ………………………………………………………………
HAKIMU
Nimepokea nakala hii ya kuitwa shaurini leo tarehe ……………………………………………………………… mwezi ……………………………………………………………… mwaka ………………………………………………………………
(Sahihi ya mshtakiwa)