Maelezo ya Mahakama
Maelezo ya Gereza
Maelezo ya Mshtakiwa
Maelezo ya Mahabusu
Maelezo ya Amri ya Kutolewa
Kutolewa kwa Hati
Sahihi

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)


GN. NO. 943 (Contd.) FOMU JINAI - 7

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ………………………………

Kituo cha ……………………………… Mkoa wa ………………………………

HATI YA KUMTOA MSHTAKIWA MAHABUSU

KWA: ………………………………

MKUU WA GEREZA, ………………………………

Kwa kuwa ……………………………… yupo chini ya ulinzi wako akiwa

mahabusu hadi tarehe …… mwezi …… mwaka ……

Unaamriwa na Mahakama hii kumtoa na kumkabidhi chini ya ulinzi wa Askari ………………………………

bila ya kukosa ili amlete mbele ya Mahakama hii tarehe …… Mwezi ……

Mwaka …… saa …… ………………………………

Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo tarehe …… mwezi …… mwaka ……

HAKIMU

12