Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ..................................................
Kituo cha .............................. Mkoa ..................................
Shauri la Madai/Ndoa Na ........................ /20...........
Jina la mdai ..................................................
Jina la Mdaisra ..................................................
KUITWA SHAURINI MDAIWA
(Kanuni ya 18 ya Kanuni za taratibu Madai Katika Mahakama za Mwanzo)
Kwa ................................................................................
Kwa kuwa Mdai/Wadai ameleta/Wameleta madi yake/yao kwamba (Eleza hapa habari za Madai).
..............................................................................................................
..............................................................................................................
hiyo unatakiwa kuhudhuria binafsi katika Mahakama hii tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka ......... Saa ........ ........ kwa mujibu wa madai hayo na kwa kuwa siku hiyo ni siku ya kusikilizwa shauri hili ni lazima kuleta shahidi/mashahidi wako na vielelezo vyote vinavyohusu shauri hili kwa ajili ya kujitetea.
ANGALIZO:
Kama hautohudhuria siku iliyotajwa hapo juu na ikithibitika kuwa ulipokea hati ya kuitwa shaurini, Mahakama inaweza kusikiliza shauri bila ya wewe kuwepo.
Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama hii leo tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka .........
HAKIMU