KIAPO CHA MUWASILISHA KUITWA SHAURINI (FOMU MADAI 4)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Kiapo
UTHIBITISHO
Sahihi ya MUAPAJI
IMETHIBITISHWA hapa
Sahihi ya MUAPAJI (Pili)
MBELE YANGU
Sahihi ya Mwisho

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)


GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ..................................................

Kituo cha ..............................

Shauri la Madai Na ........................ /20...........

......................................... ..................................

Jina la mdai .................................................. Jina la Mdaiwa ..................................................

KIAPO CHA MUWASILISHA KUITWA SHAURINI

(Kanuni ya 19(3)(b) ya Kanuni za Utaratibu wa Madai Katika Mahakama za Mwanzo)

Mimi ................................................ nathibitisha/naapa kwamba nimuwasilisha hati ya kuitwa shaurini wa Mahakama.

Tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka ......... nilipokea kuitwa shaurini iliyotolewa na Mahakama ya .......................................................... katika shauri la Madai/Ndoa Na ................ Mwaka ....................... na iliyomtaka ......................................... kufika Mahakamani tarehe ............... Mwezi .............. Mwaka ................

Nimewasilisha kuitwa shaurini ipasavyo/sikuwasilisha kuitwa shaurini ipasavyo kwa sababu ......................................................................................................

...............................................................................................................

UTHIBITISHO

Mimi ............................................................... Ninathibitisha kuwa kiapo hiki ni kweli tupu

Tarehe ................. Mwezi .................... Mwaka ......................

MUAPAJI

IMETHIBITISHWA hapa

....................................................... na ..........................................

ambaye ametambulishwa kwangu na ..............................

ambaye ninamfahamu leo

Tarehe ....... Mwezi .................... Mwaka .......

MUAPAJI

MBELE YANGU

Jina.........................................

Sahihi .........................................

Tarehe .........................................

Anuani .........................................

Cheo .........................................