KUITWA SHAURINI SHAHIDI KATIKA SHAURI LA MADAI (FOMU MADAI 5)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Shahidi
Tarehe na Saa ya Mahakama
Tarehe ya Kutolewa
Sahihi ya Hakimu

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)


GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 5

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ..................................................

Kituo cha .............................. Mkoa ..................................

Shauri la Madai/Ndoa Na ........................ /20...........

Jina la mdai ..................................................

Jina la Mdaiwa ..................................................

KUITWA SHAURINI SHAHIDI KATIKA SHAURI LA MADAI

(Kanuni ya 31 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)

Kwa ................................................................................

Anuani ................................................................................

Makazi ................................................................................

Simu ................................................................................

Barua Pepe ................................................................................

UNAAMRIWA kuhudhuria mbele ya Mahakama hii tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka ......... saa ........ kwa ajili ya kutoa ushahidi katika shauri hili.

Iwapo hautohudhuria siku iliyotajwa hapo juu na ikithibitika kuwa ulipokea hati ya kuitwa shaurini, Mahakama inaweza kusikiliza shauri bila ya wewe kuwepo na kutoa hukumu dhidi yako.

Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama hii leo tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka .........

HAKIMU