MAOMBI YA KUPITIA KUMBUKUMBU ZA SHAURI (FOMU MADAI 6)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Mwombaji
Nyaraka Zinazohitajika
Tarehe ya Maombi
Ada ya Mahakama
Tarehe ya Kupokea
Sahihi ya Mwombaji

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)


GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 6

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ..................................................

Kituo cha .............................. Mkoa ..................................

Shauri la Madai/Ndoa Na ........................ /20...........

Jina la mdai ..................................................

Jina la Mdaiwa ..................................................

MAOMBI YA KUPITIA KUMBUKUMBU ZA SHAURI

(Kanuni ya 9 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai Mahakama za Mwanzo)

Mimi ................................................................................

nikiwa ni ................................................................................

naomba kuona na kupitia mwenendo na vielelezo katika shauri tajwa.

Aidha naomba kupatiwa nakala iliyothibitishwa ya nyaraka zifuatazo:

1. ................................................................................

2. ................................................................................

3. ................................................................................

4. ................................................................................

5. ................................................................................

Sahihi ya Mwombaji ................................................................................

Tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka .........

Ada ya Mahakama Tsh. ................................................................................

Imepokelewa leo tarehe ........ Mwezi ....... Mwaka .........

Karani wa Mahakama