madhara ya kutokujibu hati ya mashtaka
tunafahamu kabisa, watu hustakiwa na hustaki kwenye mashauri ya jinai au madai, pale utakapo stahiki ni lazima kujibu mastaka hayo, na usipo jibu huchukuliwa kama umekubaliana na mashtaka hayo, katika kila jaombo, hivyo utahukumiwa kama mastaka hayo yanavyo sema., hivyo basi unaposhtakiwa kwa kitu chochote kile ni vizuri kujibu mastaka hayo,