Blog news

understanding civil practice in tanzania

· Jul 14, 2026 · 3 min read

understanding civil practice in tanzania

mtu awezi / haruhusiwi kisheria kuenda mahakama ya rufani au ya chini yake kwa njia mbili tofauti kwa wakati mmoja

wadaawa mbali mbali kupenda kushtakiana kwa makosa kadha wa kadha, na hata kutoridhika na hukumu itakayo tolewa na mahakama, na hata kwenda katika ngazi ya juu ya mahakama iliyotoa uamuzi ambao hajaridhika nayo, na njia ya kwenda katika mahakama ya juu zaidi ipo nyingi sana ikiwemo mapitia, rufaa na kadhalika.

na wengine hushauriwa kutumia njia zaidi ya moja kwa kakati mmoja, ila mahakama kufutia case Gopal narsibhan vs rehema msabaha, imesema kwamba mtu mmoja hawezi kwenda katika mahakama ya juu /kufungua case kwa njia mbili/mara mbili kwa wakati mmoja hivyo bas ni vyema kusubiri maamuzi yatakayo tolewa namahakama ambayo inasikiliza shauri hilo na baada ya maamuzi kutoka sasa unaweza kufungua rufaa kwenye mahakama inayofata endapo hujaridhishwa na uamuzi uliotolewa na mahakama io.

kwani mahakama haina uwezo wa kufanya mapitio na rufaa kwa wakati mmoja.

Related Articles