Blog faq

rectification of error in court documents

· May 28, 2026 · 3 min read

rectification of error in court documents

rectification of error in court documents eg. decree

Kwenye kesi ya Hussein Amin Teja Vs Frida Fredrick Mchauru (civil appeal no 1072 of 2025). Inaelezea kwamba makosa ya matumizi ya neno "mwitikia rufaa" badala ya mkata rufaa ni makosa tu ya kiuadishi ambayo yanaponywa na maombi tu kupitia kanuni ya 106 ya mwenendo wa mashauri ya madai kuiomba mahakama kurekebisha kosa.

wakili msomi wa mkata rufaa alieleza kuwa jaribio la kuiomba mahakama kurekebisha makosa ilikutana na upinzani kutoka kwa afisa wa mahakama ambaye hakutajwa jina. Hatudhani kama hii ni sababu ya kukubalika, Hata kama tungechukulia kuwa kweli ni uamuzi wa mahakama unaositahili kukatiwa rufaa? Tunafikiria sio na kusema njia alioleta mkata rufaa sio sahihi na haiwezekani.

Related Articles