Blog faq

Road Traffic Act

· May 22, 2026 · 3 min read

Road Traffic Act

je wajua, ku egesha gari vibaya inapelekea utendaji wa kosa kisheria?

kwa mujibu wa sheria za barabarani nchini tanzania, mtumiaji wa chombo cha moto, anatakiwa kutumia barabara kwa namna ambayo hata mzuai au kumuathiri mtumiaji mwingine wa barabara, iliwemo kuegesha chombo chako cha moto.

Related Articles