Blog news

family law

· May 04, 2026 · 3 min read

family law

haki ya wanandoa katika mali walizo chuma pamoja

pasipo kuwa na shaka yoyote ile tunafahamu kuwa wanandoa toka siku ya kwanza kuishi pamoja wao ni mwili mmoja na kila wanacho kifanya wanafanya kama mtu mmoja.


kutoka na dhana hii, kila mwanandoa anahaki katika mali aliychuma na mweza wake kwani anamchango katika mali hiyo, hata kama mchango huo si wa moja kwa moja mf. kutoa fedha taslim ya kununua mali hiyo, bali mchango wake huonekana pia kazi ndogo ndogo alizokuwa anafanya kabla na wakati wa kununua mali hizo hata pia baada ya kumiliki mali hiyo,

mfano wa mchango huo ni kama, kumliwaza na kumuondolea mawazo mnunuzi huyo, kuweweka aonekana mtashatiyaani kumfanya apendeze na kumtuliza kihisia hata pia kumpa mawazo.


ebu tujiulize nikweli wote wanapata haki zao katika mali walizochuma pamoja kutokana na mchango wao wa aina hiyo ambao si wa moja kwa moja.

na kama ndivyo au sivyo nini kifanyike sasa?


Related Articles