do you know the needfullness of conducting land search and procedures to do so.
kwa siku ya leo tu angalia hatua mahususi za kufanya (uchunguzi) search kabla mtuhajanunua eneo, mali isiyo hamishika.
uchunguzi wa ardhi (land search) ni hatua maalumu na yalazima kabla ya nunua ardhi, kwani inasidia kuondoa migogoro isiyo ya lazima hapo baadae., mfano kujikuta umenunua eno moja mara mbili, kulinda fedha yako na kuhakikisha unawekeza sehemu sahihi na kufahamu nani mmiliki halali wa eneo hilo.
ukuwa unafanya uchunguzi juu ya ardhi, kuna hatua mahusi ya kuzingatia, ikiwemo
- kupata taariza zote za ardhi husika (land details)
katika hatua hii zingatia, je eneo limepimwa au bado, lipo wapi physical location, plot number and block number too na hati ya umiliki pia.
- 2.
- tembelea ofisi ya ardhi jya kijiji au mkoa/wilaya kuhakiki taarifa hizo pia.
- ambapo ujaza taarifa zako na kuambatanisha vitu muhimu vitakavyo hitajika kwa muda huo, mf. NIDA. (ID number)
- kisha utalipia kiasi cha fedha kulindana na control number,
- na kukabidhi form yako (land search form) kwa hatua zingine,
- ambapo ofisi mahususi watachakata taarifa husika na kukupa taarifa kamili za eneo hilo nani mmiliki na je eneo lina daiwa au la nina shikiliwa kwa namna yoyote ile au la.